Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Wadau naomba msaada namna bora ya kuanza biashara hii, nianze na bidhaa gani maana simu na assessories ndo ndoto kubwa,
Ombi langu kwa wazoefu ,ni kupata taarifa kuhusu bidhaa ipi itapush ndoto zangu kwa speed ili niweze kuzifikia ndoto mapema.
Tathmin yangu ni kuanza na mtaji mdogo wa million 5 ili niweze kuwa familiar na soko ndo niongeze nguvu ya mtaji.