Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Ushauri mzuri sanaInategemea upo wapi
Ushauri wangu kama ni mkoani anza na accesories ongeza vitochi then simu common
Halafu ukipata uzoefu utaingia kwenye refurbs
Akihitaj ushauri akuje ni kitu nina knowledge nacho na sifanyii kaziUshauri mzuri sana
Kama utaweza kutupa info zaidi kwa faida ya wengi ingekua pouwa sana, coz kuna watu tuna capital ila bado hatujafanya maamuziAkihitaj ushauri akuje ni kitu nina knowledge nacho na sifanyii kazi
Amcheki Hornet akupe mwongozo na machimbo ya Wachina kariakoo uchukue mzigo mkubwa wanakochukulia wakongwe wa hii biashara.Wadau naomba msaada namna bora ya kuanza biashara hii, nianze na bidhaa gani maana simu na assessories ndo ndoto kubwa,
Ombi langu kwa wazoefu ,ni kupata taarifa kuhusu bidhaa ipi itapush ndoto zangu kwa speed ili niweze kuzifikia ndoto mapema.
Tathmin yangu ni kuanza na mtaji mdogo wa million 5 ili niweze kuwa familiar na soko ndo niongeze nguvu ya mtaji.
Hornet unaweza mwaga madini hapa kwenye thread, na sisi wengine tukanufaika.Akihitaj ushauri akuje ni kitu nina knowledge nacho na sifanyii kazi
Ok kwanza kuna njia mbiliKama utaweza kutupa info zaidi kwa faida ya wengi ingekua pouwa sana, coz kuna watu tuna capital ila bado hatujafanya maamuzi
Muongezee,vitu anavyoagiza/kujumua inategemeana na aina ya wateja aliotarget kuwauzia accessories zina quality hilo asisahauOk kwanza kuna njia mbili
Ya kwanza ni kujumua mzigo kariakoo ukauza kwa faida
Na ya pili ni kuagiza mzigo China,
Hapa nazungumzia accesories ikiwemo, cover, protectors, charger, earphone n.k
Angalia simu ambazo zinatumika zaidi eneo lako ndo uagize vifaa vyake.
Kuagiza china shipping imekua rahisi nowdays unapokea mzigo wako ndani ya siku 30 kama hakutakua na delay kwa supplier(tumia silent ocean) hii faida yake ni kubwa zaidi ilaa inafaa mtaji uwe angalau 6M ili ukiagiza 2m
After 2weeks unaagiza tena 2M then wakat unapokea unaagiza tena
Kwa hivyo unakua haukaukiw na mzigo.
Upande wa cover inafaa ujitahidi kuchukua ambazo siyo za fashion ili mzigo ukifika usikute fashion imepita, chukua zile zinauzika kipindi chote cha mwaka.
Kama una swali unaweza niuliza.
Kwa mtu mwenye capital ya 20m, anaweza akaingia k.koo na akaweza ku survive kwenye hii biashara ya simu, au bado mtaji mdogoOk kwanza kuna njia mbili
Ya kwanza ni kujumua mzigo kariakoo ukauza kwa faida
Na ya pili ni kuagiza mzigo China,
Hapa nazungumzia accesories ikiwemo, cover, protectors, charger, earphone n.k
Angalia simu ambazo zinatumika zaidi eneo lako ndo uagize vifaa vyake.
Kuagiza china shipping imekua rahisi nowdays unapokea mzigo wako ndani ya siku 30 kama hakutakua na delay kwa supplier(tumia silent ocean) hii faida yake ni kubwa zaidi ilaa inafaa mtaji uwe angalau 6M ili ukiagiza 2m
After 2weeks unaagiza tena 2M then wakat unapokea unaagiza tena
Kwa hivyo unakua haukaukiw na mzigo.
Upande wa cover inafaa ujitahidi kuchukua ambazo siyo za fashion ili mzigo ukifika usikute fashion imepita, chukua zile zinauzika kipindi chote cha mwaka.
Kama una swali unaweza niuliza.
Kariakoo hamna cha mtaji mdogoKwa mtu mwenye capital ya 20m, anaweza akaingia k.koo na akaweza ku survive kwenye hii biashara ya simu, au bado mtaji mdogo
Asante sana kwa ushauriInategemea upo wapi
Ushauri wangu kama ni mkoani anza na accesories ongeza vitochi then simu common
Halafu ukipata uzoefu utaingia kwenye refurbs
Mda rasmi ukifika ntakuja mkuuAkihitaj ushauri akuje ni kitu nina knowledge nacho na sifanyii kazi
Napata changamoto namna bora ya ku specify swali, kwani sijaanza na shida yangu ni kujua napoamua kuanza walau nianze na bidhaa zipi ili kua na mwendelezo mzuri, kwa dsm chimbo ya wachina nazijua vp pia,Ok kwanza kuna njia mbili
Ya kwanza ni kujumua mzigo kariakoo ukauza kwa faida
Na ya pili ni kuagiza mzigo China,
Hapa nazungumzia accesories ikiwemo, cover, protectors, charger, earphone n.k
Angalia simu ambazo zinatumika zaidi eneo lako ndo uagize vifaa vyake.
Kuagiza china shipping imekua rahisi nowdays unapokea mzigo wako ndani ya siku 30 kama hakutakua na delay kwa supplier(tumia silent ocean) hii faida yake ni kubwa zaidi ilaa inafaa mtaji uwe angalau 6M ili ukiagiza 2m
After 2weeks unaagiza tena 2M then wakat unapokea unaagiza tena
Kwa hivyo unakua haukaukiw na mzigo.
Upande wa cover inafaa ujitahidi kuchukua ambazo siyo za fashion ili mzigo ukifika usikute fashion imepita, chukua zile zinauzika kipindi chote cha mwaka.
Kama una swali unaweza niuliza.
Hapo unaweza kumpoteza kwa sasa simu hasa vitochi na accessories zinaagizwa kila leo na Ma Giant ktk Soko...Bora aanze kwa kujumua Kariakoo au mkoa aliopo kulingana na Trend iliyopo kuliko kukurupuka kuagiza kwanza kisha akipata uzoefu ndio aanze kuagiza...Ok kwanza kuna njia mbili