TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Nataka kuwa mchungaji wa kanisa la maombezi na uponyaji.Kuwa usalama wewe mwenyewe
Nataka kuwa mchungaji wa kanisa la maombezi na uponyaji.
Sasa nishakipata ,nataka kuwa mchungaji.Pengine hujui unachokitafuta ndio maana hukipati
Sasa nishakipata ,nataka kuwa mchungaji.
Pengine hujui unachokitafuta ndio maana hukipati
Habari wadau!
Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru.
Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au Kitengo. Cha ajabu walikuja chuo wazee wa system kimyakimya wakachukua watu wao mimi wakasepa.
Sasa vyote nimekosa, hapa nawaza kuwa mchungaji wa kondoo wa bwana japo hii sio kazi, ni wito. Nataka kuanzisha kanisa ambalo litaanzia hapa JF, Twitter, FB n.k Ni online church.
Nina dawa ya kukufanya uwe na upako, njoo na kamioiioni kamoja TU baaaàsHabari wadau!