Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa kibronchure za Yoseph Yuda Tade.
Niliota vita, damu nyingi imemwagika, nikawa naenda maeneo hata sioni watu! Nikaenda mto mmoja, sasaivi sikumbuki jina, mafuvu matupu! Ila kulikuwa na mtu nyuma yangu sijui ni nani maana sikuongea naye.
Baadae nikaota rais wa Marekani yuko mbele ila nikapita juu ya miti kwenye huo msafara mpaka kumfikia. Kisha nikamuomba amani alafu baadae pakawa na amani.
Hii ndoto inanitesa, inajirudia rufia sana!
Hii ni nini?