wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,544
Wakuu salam,
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nikiwa na rais wa Korea Kaskazini na katika ndoto hiyo rais huyo ni rafiki yangu mkubwa sana, nimekuwa nikiota ndoto nikiwa na marais wa mataifa tofauti duniani kwa miaka zaidi ya nane iliyopita, niliwahi kuota nikiwa na rais George Bush ndani ya Air Force One, marais wote wa Tanzania nimeota nikiwa nao, Obama ni mara tatu zaidi naota nikiwa nae, nisingependa kuelezea marais wote duniani niliowahi kuota nipo nao, ila kwa kweli ndoto hizi zinanishangaza sana.
Sijawahi katika maisha yangu kuwaza kuwa mwanasisa wa aina yoyote ile, kati ya ndoto iliyonishangaza kuliko zote ni ile niliyoota kuwa nipo na rais (namhifadhi jina na taifa kwa sababu maalumu) akinyenyekea mbele yangu ili nimpatie ushauri maana kwake mambo ni mazito, jamani hii ni mara ya pili naleta kwenu huu uzi, watalamu wa ndoto tafadhali mnisaidie, nilipouleta uzi huu mara ya kwanza wengi walichangia kwa kunikejeli sana, ndio maana nimehamia jukwaa hili linalotembelewa na intelligents zaidi.
Nasubiri mchango wa hekima