Ndoto za BRT na ahadi za uongo za viongozi wa Kenya.

Ingelikuwa ni kw yule babu..kituo kingefungwa halafu aliyeandika hyo habari kukamtwa na kusekwa ndani..kesi, eti uchochezi anataka kuleta vurugu"tanzania ni nchi ya amani"
Wakati awamu ya pili ya ujenzi wa BRT toka Mbagala hadi Gerezani mkiendelea kwa kasi ya 4G, majirani zetu wanaendelea kusikiliza story za Macharia zisizokuwa na mwisho.
 
Citizen TV ni favorite channel ya Tz.

Kama Kuna kitu Tz wametushinda nacho peke yake ni BRT lakini ikumbukwe ipo Dar peke yake na sio Dar yote, otherwise the rest of Tanzanians wanarundikwa kwenye daladala Kama kuku wakipelekwa sokoni.

 
Ingelikuwa ni kw yule babu..kituo kingefungwa halafu aliyeandika hyo habari kukamtwa na kusekwa ndani..kesi, eti uchochezi anataka kuleta vurugu"tanzania ni nchi ya amani"
Tafadhali tujikite katika mada husika, Macharia amekua akitoa ahadi za uongo na taarifa za kuwandanganya wakenya katika kila mradi, kuanzia SGR, BRT, Mombasa- Nairobi high way, lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi yake, au tatizo ni kabila lake haliguswi?
 
Kwahyo wataka tumteke nn...
 

Imebaki kuwa historia...nyie pigeni porojo si tunatembea..
 
Kibaka Highway wapi?
SGR Wapi?
Kinyesi 1,2,3 Wapi?
Strugglers gorge wapi?
Guangzhou, Mumbai Wapi?
Bagamoyo Port wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…