The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
washatumika kama toilet paper hawana umuhimu tena.......watulize makalio tukomboe nchi 9DView attachment 3501550
Kwa wajuzi wa mambo, Dotto Biteko na wenzake watokao kanda ya ziwa walitumika kutaka kupata kura kabla ya uchafuzi haujaharibika.
Hivyo, sasa wameishajipa ushindi, hawahitaji msaada wao.
Je Desemba 9, watatoboa au kutobolewa?
kwa madelu haipo.Nafasi ya naibu waziri mkuu imetolewa?
Lilivyo limero lizee la scarf haliwezi kukubali kuwa na naibu.kwa madelu haipo.
Wewe huwajui wabongo?BITEKO alijua kabisaa hatakaa aupate uwaziri mkuu mengi yalikua yenu mdhaniayo.
Yaniiii....Wewe huwajui wabongo?
Wanaweza kukupa story kama walikuwapo kwenye chumba na Samuya na Biteko wakati Biteko anaahidiwa Uwaziri Mkuu.
ππππMtu kazubaa hivyo awe waziri mkuu?