umepata fomu ya VETA kuna kozi za ndotoHuwa nikilala usiku mfano nikaota ndoto ikatokea nimestuka usingizini
Then nikatoka nje then nikija nikilala tena huwa ile ndoto inaanzia palepale nilipoishia. Pale nilipostuka Na hata nikistuka tena
Hujirudia mpaka pale ile ndoto inapoishia sasa sijaelewa hiyi inamaana gani kwangu
Ni muda sasa hiyi hali inajitokeza
Maana yake utakuwa producer wa tamthilia.Maana yake ni nn
SeriesHuwa nikilala usiku mfano nikaota ndoto ikatokea nimestuka usingizini
Then nikatoka nje then nikija nikilala tena huwa ile ndoto inaanzia palepale nilipoishia. Pale nilipostuka Na hata nikistuka tena
Hujirudia mpaka pale ile ndoto inapoishia sasa sijaelewa hiyi inamaana gani kwangu
Ni muda sasa hiyi hali inajitokeza
Kwa hiyo kuna mtu unamuwaza sana,hadi kwenye ndoto?Alafu za mapenzi mkuu