Ndoto za kisiasa

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
329
Reaction score
10
Si nikaota bana usiku!? Eti niko miongoni mwa waalikwa katika birthday ya Mandela...wakati nawa-hug marais tofauti, ikafika zamu ya ''rais'' wenu , kudadadadek eti nikampa bonge la ngumi ya uso puani na nyingine ya chembe akazima palepale! ...hadi ndoto inaisha jamaa bado kazima!
Ndoto nyingine bana!?
 
Nenda kwa shehe Yahya akakutabirie........................huenda ikatokea kweli ukawa matatizoni!!!!
 
Rais wetu alikua bila walinda mwili (body guard)?
 
Nenda kwa shehe Yahya akakutabirie........................huenda ikatokea kweli ukawa matatizoni!!!!

Nipate matatizo mangapi??? Watu tuna matatizo mpaka matatizo mengine yanakimbia yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…