KIKUKI
Member
- Jul 4, 2019
- 9
- 7
Habari zenu wakuu ,
katika maisha kuna wakati unatamani kufanya jambo fulani na unakuwa na matumaini ipo siku utalifanikisha
Wapo wenye ndoto za kuwa na magari mazuri , nyumba za kifahari , kuwa maraisi au wanasiasa mashuhuri na mengineyo
Binafsi , ndoto yangu ya mchana natamani siku moja niwe mchezaji wa taifa star na niisaidie timu kuchukua kombe la dunia
Kwa upande wako, jambo gani ulikuwa na malengo nalo au kulitamani lakini kadri siku zinavyoenda unabaini kuwa kumbe zilikuwa ni ndoto zako tu za mchana ambazo hutarajii tena kuzitimiza ??