Ndoto za usiku hizi ni nzuri yani tamu balaa!!!

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Habari za mida hii wana chit chat.....

Bila kupoteza muda mida hii nimeshtuka kutoka ndotoni ila najilaumu sana kwa ndoto tamu kukatika mapema hivi!

YALIYOJIRI NDOTONI.
Wakuu leo nimeota wadada wa Jf wamekuja pm wananimbembeleza hao et niwatumie picha yangu b'se mimi ndo handsome pekee nilioko Mkoani.Ila kuna bidada mmoja jina kina anzia na M........ Ilibaki kidogo anitunuku papuchi yake mimi handsome na mwanaume wa mkoani.

Sasa jamani wale ladies mliokuja pm ndotoni naomba mje sasa kiuhalisia pm pia wewe uliyetaka kunipa papuchi fanya uwahi kuja pm kesho asubuhi.

OFFER: Atakaye like na kuja pm kesho nampa sabuni ya roho aka ngawira aka mapene aka njuruku ila tafadhari mwanaume nisikuone pm usije ukachafua hali ya hewa.
Note:imeandikwa chini ya udhamini wa “AKILI YA USIKU”
 
Bora n hizo "akili za usiku" haya rudi kulala
 
Saa nne hii wewe unalala hadi kuota?
Sasa ikifika saa saba sindo utamuota popobwawa kabisa?
 

Kwa akili hii, viwanda 336,000 tunavyoaminishwa kujengwa nchi zima lazima viwe vya kutengenezea kondom na madanguro ya uzinzi. Jitu likisinzia tu linawaza na kuota ngono.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…