NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi.

Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 19 vinara ni Yanga wenye pointi 52.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally ameweka wazi kuwa ili kufanikiwa malengo ya kutwaa ubingwa wa ligi ni muhimu Wanasimba kuiunga mkono timu yao ili iweze kuchukua ubingwa wa NBC Premier League.

Ahmed ameyasema hayo alipozungumza na mashabiki wa timu hiyo mkoani Singida ambako leo watakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Ihefu ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili kwenye ligi.

“Simba Sports Club tunayo nafasi ya kuchukua ubingwa kwa kuwa kuna mechi ambazo zipo mkononi tunapaswa kupata matokeo na muhimu kwa Wanasimba kuwa pamoja.

“Tuna mchezo dhidi ya Ihefu tunatambua ni mchezo mgumu lakini tupo tayari tunahitaji kupata matokeo mazuri,”.

Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye kikosi cha Simba ni pamoja na Luis Miquissone, Kibu Dennis.

Nini maoni YAKo???
 
Kwani hospital ya Taifa muhimbili hakuna idara inayopambana na magonjwa ya akili??
Ahmed Ally + Mangungu + try again
 
Kuna shida kubwa Sanaa hasa kwao hao viongozi wawili

Kwanini wasiachie tu nafasi/ kujiuzulu??, Hamna Cha maana walicho fanya zaidi ya kuleta kina sawadogo, jobe nk. Hayo ndio mafanikio yao

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Simba na yanga kutwaa ubingwa ni wajibu. Ili kutimiza ndoto hizo itategemea namna gani viongozi watatimiza wajibu wao
Wote wametolewa kimataifa, unahisi Yanga atakubali kupoteza au kupata sare kizembee???

Hapana ndio jibu sawa???

Ukizingatia ana kikosi kizuri sioni Simba akiwa bingwa hata kwa Bahati mbaya

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
H
Kuna shida kubwa Sanaa hasa kwao hao viongozi wawili

Kwanini wasiachie tu nafasi/ kujiuzulu??, Hamna Cha maana walicho fanya zaidi ya kuleta kina sawadogo, jobe nk. Hayo ndio mafanikio yao

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hii Simba itazidi kututesa sana......
Shida ipo kwetu sisi wanachama hatujui thamani ya kura zetu wakati wa uchaguzi!!!!!
Viongozi wana watu wao wa kuwatetea hata timu ikifanya vibaya,hao hupewa safari za mikoani kuingia uwanjani bure na 'vibahasha' juuu!!!
 
Back
Top Bottom