Ndoto za usiku

Ndoto za usiku

definition

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
972
Reaction score
1,584
Wakuu ma Dr na wataalam naombeni msaada katika hili. Ndani ya kipndi kama cha miaka 6 ivi nimekuwa niku sumbuliwa sana na ndoto mbaya za usiku. Tatizo lilianza nikiwa A-level arusha. Nikiwa nime lala nakuwa na patwa na hali ya kukosa pumzi vzr nakuwa naona kama nakufa ivyo nina tapa tapa niki hamka naweza kimbia ata mt.200 fahamu zina nirudia vizuri.

Tatizo ili lime endelea adi chuoni ilifika mahali nashindwa lala na wenzangu niki ofia kuanza pata ndoto mbaya na kuanza kimbia ovyo.

Mbya zaidi kuna kipindi nikiwa juu gorofani kuna kuwa kuna nafsi ina nisukuma kujitupa chini. Siku 1 nilienda kwa ndugu kulala usiku nika anza mambo yangu majirani mtaa mzma wakatoka wenye nyumba adi waka ogopa kulala.

Hii ghali huwa haitokei mara kwa mara ila kuna kipindi ina fululiza. Imefka mahali nikipata demu mpya na ogopa kulala naye nisipate aibu.
 
Mh, pole sana ebu Fanya maombi na umwamin Mungu kuwa ni muweza wa mambo yote hakika utapona hzo ni roho za ibilisi znakutesa
 
Mh, pole sana ebu Fanya maombi na umwamin Mungu kuwa ni muweza wa mambo yote hakika utapona hzo ni roho za ibilisi znakutesa
Acha tu. Kuna kipndi niliendaga somewhre waka niombea ika isha kama mwaka ime jirudia tena.
 
Back
Top Bottom