Ndoto zako zinawezekana

Ndoto zako zinawezekana

starwilly

Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
25
Reaction score
2
Ukweli ni kwamba watu wengi wamekuwa na malengo na matarajio makubwa sana juu ya maisha yao, kiasi kwamba licha ya kupata mshahara/malipo/ujira mdogo kulingana na malengo yao wanafanya bidii mno katika shughuli nyingi wanazozifanya, wengine hulazimika kufanya shughuli zaidi ya moja kukuza uchumi wao ili angalau waweze kuendesha maisha yao na kukidhi mahitaji yao na wanaowategemea.
Pasipo kutambua, wengi hujikuta wakikosa muda hata wa kuwa na familia zao na kufurahi pamoja, kiasi cha kukosa uhuru wa muda.

Hali kadhalika na kwa watu wengine wakiwemo wanafunzi, waajiriwa, wafanyabiashara, wajasiriamali na wasio na ajira maalumu na kadhalika kwa watu wengine wengi!

Swali la muhimu sana kujiuliza hapa ni kwamba:-
[HASHTAG]#wakati[/HASHTAG] wengine wakitimiza malengo yao, wewe unakosea wapi??

Na wewe unatimiza malengo yako? Ni kwa kiasi gani?

Je, ungependa kuongeza nguvu zaidi katika kufikia malengo yako?

Je,umeridhika na maisha unayoyaishi?

Je, umekata tamaa?

Je, ni changamoto gani mbili tu kubwa zinazokuwa kikwazo kikubwa sana kwenye kutimiza malengo yako?

Wakati ukijiuliza juu ya plan B yako ni nini?

Kitu cha muhimu kukumbuka ni kwamba, katika maisha ya sasa ni vigumu sana kufanikiwa ukiwa mwenyewe pasipo kuwa na watu (team) wanaokuzunguka kukujenga na kukuongoza kimawazo katika kufikia malengo yako.

Inawezekana kufikia malengo yako pia na kuishi maisha unayoyapenda, bila kujali umri, jinsia, elimu yako na kadhalika
Jipe nafasi kuzungukwa na waliofanikiwa na wewe uwe mmoja wao.
JE, UNGEPENDA KUWA MIONGONI MWA WATAKAOKUWEPO SIKU HIYO??

Tarehe :21/09/2016,Jumatano
Muda : saa 11:00-12:00 (tano kamili asbh mpaka sita kamili)
Kiingilio :Bure
Mahali :msasani

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0769643939
 
Back
Top Bottom