ndoto zetu vijana

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Shikamooni wakubwa zangu, wadogo zangu na ambao tupo sawa habari zenu?

Mimi kama kijana wa kitanzania mwenye miaka chini ya 30 sioni ata dalili moja ya kuja kufikia ndoto zangu may be kwa sababu nisha kata tamaa kutokana na kuongozwa na mfanyakazi kwa miaka hii kadhaa

Ila nna swali moja kwa vijana wezangu kama sio mawili ambayo mkinipa majibu mema huenda mkawa mmenifungua maana bado nipo utumwani kifikra

swali la kwanza: kipi kinakufanya uamini ya kua utafanikiwa?


pili:na kama ukifanikiwa utafanikiwa kupitia nini?

Mimi nmekata tamaa kutokana na aina ya kazi nnayo fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you fail to plan, Then you plan fail.

A mother of succeful is HARD WORKING.

Man can never give up not even once ,so why you ?.

sorry man i didn't answer your two question but have a nice day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…