Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Habari za usiku wakuu,
Nimetoka kazini jioni ya leo
Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita
Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana