Ok it's just a dream means nothingSijamuwaza hata
Pole sana mkuu, but usiwaze mabaya! Maana aliwazalo mtu humtokea
1. Ndoto zingine hutokana na mawazo tu au kazi nyingiHabari za usiku wakuu,
Nimetoka kazini jioni ya leo
Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita
Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
Nimeota niko na Reginald Mengi, tuko na Lusajo Mwaisaka, Robo Cop, nimeshika kitabu, kimeandikwa 66, basi, nikamwambia Mengi kesho nitakuwa na miaka 6, basi kesho yake 10/03 akaja amevaa ngongoti, kuna muda akapoteza balance, akataka kuanguka, nikamuwahi kuzuia asianguke. Akasema yupo vizuri, nikamwambia ni lazima uende Hospitali. Akaliachia fumbo ndefu na kibakuli cha DHAHABU.Habari za usiku wakuu,
Nimetoka kazini jioni ya leo
Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya 8 iliyopita
Kitaalamu ina maana yoyote? Manake ndani ya wiki mbili hizi namuota sana
Nenda kamuombe misa.Sijamuwaza hata
your wrong and right at the same timeOk it's just a dream means nothing
Ikitokea utamudu huo mziki wake?Kuna mtu huko juu kasema rafiki yangu alikuja kunitembelea
How i wish aje kuniona kila siku 😥
1. Ndoto zingine hutokana na mawazo tu au kazi nyingi
2. Ndoto za vifo, au kuwa shuleni au kufukuzwa na wanyama wakali...hapa kuna tatizo.
Note; ndoto hutegemea na muotaji.
Mimi kama nimeota ndoto ya kweli itakayotokea huwa ninaamka na huxuni sana na hii imenitokea mara nyingi na matokeo huwa ni 100%
How?your wrong and right at the same time
Nimeota niko na Reginald Mengi, tuko na Lusajo Mwaisaka, Robo Cop, nimeshika kitabu, kimeandikwa 66, basi, nikamwambia Mengi kesho nitakuwa na miaka 6, basi kesho yake 10/03 akaja amevaa ngongoti, kuna muda akapoteza balance, akataka kuanguka, nikamuwahi kuzuia asianguke. Akasema yupo vizuri, nikamwambia ni lazima uende Hospitali. Akaliachia fumbo ndefu na kibakuli cha DHAHABU.
CC:-
sajjo