Usiku wa leo nimeota nipo
Uwanjani nafanya mazoezi ya kukimbia
Na kurukaruka na mazoezi ya viungo
Na Erasto Nyoni, sijui SIMBA au AZAM
wana mpango wa kunisajili, nikawe streaker wao nikawafungie magoli ya video [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] akili zangu
Nazijua mwenyewe.