jaman Ndoto ni kitu ambacho toka nizaliwe hadi hapa nilipo naota mambo tofauti2, sasa nashangaa wale wanaofuatilia walichokiota, sijui watafuatilia ndoto ngapi, anyway tushare hapa ndoto nzuuri au mbaya ulowah kuiota na haijakutoka katika kwenye kumbukumbu yako, mi bnafsi niliwah kuota nipo juu ya mgongo wa mnyama wa ajab napelekwa vichakan, dah kesho ake nikaamukia kanisani kusali.