Ndoto

Ndoto

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Wanajamvi

Kwanini ukinywa pombe alafu ukalala hauoti ndoto, ila ukivuta bange unaota?
 
Umeota nini ulivyovuta bangi? Kwahiyo hata kabla ya kuja kuandika hapa uliota?
 
Wanajamvi

Kwanini ukinywa pombe alafu ukalala hauoti ndoto, ila ukivuta bange unaota?

Ukivuta bangi sio kwamba unaota, bali yale matendo unayofanya unahisi km unaoota while in real sense yanakuwa ni matendo halisi, bangi ikiisha ndio utahisi km ulikuwa unaota
 
Ukivuta bangi sio kwamba unaota, bali yale matendo unayofanya unahisi km unaoota while in real sense yanakuwa ni matendo halisi, bangi ikiisha ndio utahisi km ulikuwa unaota

waswahili wa pemba nyie..
 
true,,ukinywa pombe huoti aisee,,hv ni kwa nini???
 
Suala hili linahitaji mtaalam aliyesomea ili tuelimike...majibu mengine hapo juu ni ushuzi tu...!
 
Ukivuta bangi sio kwamba unaota, bali yale matendo unayofanya unahisi km unaoota while in real sense yanakuwa ni matendo halisi, bangi ikiisha ndio utahisi km ulikuwa unaota

hii comment ipo upset down!
 
Pombe:
Hulewesha Consiousness Kwenye Ubongo Na Kulegeza Koklea Ambayo Humfanya Mtu Kukosa Balance Sawiya, Na Kuyumba Yumba Hii Hufanya Mwili Mzima Kukosa Balance Na Kulegezwa Utendaji Mzima Wa Ubongo Kufanya Kazi Hii Hupelekea Mtu Pindi Pombe Inapokwisha Kupata Maumivu Kwenye Kichwa Japo Wengine Sio Sana.. Pombe Hupumzisha Ubongo Kwa Lazima...

Bange/marijuana:
Hii Humkaa Mtu Kichwani Pafu Moja Siku Arobaini, Hii Huamsha Ubongo Speed Zote Na Ubongo Hufanya Kazi Zaidi Ya Kawaida Waweza Kula Chakula Kikasagwa Haraka Sana.. Bangi Huover Work Ubongo..

Ndoto:
Hapo Natumai Home Of Great Thinkers Mtajua Kwa Nini Ndoto Kama Hiyo Hutokea...

#Rakims
 
Back
Top Bottom