Wadau salaam! Nimeota ndoto usiku. Nimewaota waliokuwa mahasimu wakubwa katika siasa Hayati Edward Lowassa na Hayati Samwel Sitta.
Ndoto yenyewe iko hivi:- Hayati Samwel Sitta alikuwa amealikwa katika harambee kanisani. Na yeye akamualika Edward Lowassa. Wakiwa kanisani, Lowassa akapewa mic kuendesha harambee hiyo. Watu wanne wakachanga kama Tsh 100m. Mara Lowassa akapaliwa kama na kitu hivi, akaanza kukohoa. Hivyo hakuendelea na harambee hiyo.
Wataalamu wa kutafsiri ndoto, hiyo inatafsiri gani? Evelyn Salt