Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani!

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

 
Mh. Spika Ndugai yuko sahihi sana

Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga

Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?

Kwanini tutangulize "wakili msomi"?

Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi 👍💪💪

MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH. SPIKA JOB NDUGAI, AMEEN AMEEN 🙏

#NchiKwanza
#SiempreJMT
 
Huyu si mtu mzuri hasa kwenye utawala huu wa maza
Kila siku anaharibu

Ni jana tu alidanganya kua yesu alikua na wife material
Huyu sio mtu wa kuamini kabisa!
Ulimi hauna mfupa jombi

Aliteleza na aliomba msamaha

Watu wanapenda sana "petty issues"🤣
 
kama Ndugai ndio jembe la nchi hii basi bila shaka umasikini unaowakabili ni haki yenu
Dada wewe Kutwa kujisifu UTAJIRI 🤣🤣

Hivi una "inferiority complex" na "post traumatic stress disorder PTSD" secondary to CHILDHOOD ABUSE?

Yaani kumiliki KAHOTELI kamumeo pale Mbeya na vibiashara unavyovitangaza msimu wa 7/7 basi unatuona sote "mahobobo malofa" si ndio eee?

Mshukuruni sana hayati JPM(Rip) kwa kutobomolewa kule.
 
Mh. Spika Ndugai yuko sahihi sana.

Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga...
Na Daktari , engineer, na cpa unawazungumziaje? Wanaitwa hivyo ili kukidhi matakwa ya professions zao na kujitofautisha na vihiyo, kumbuka hata hii ya learned brother ni heshima tu, ila mchakato wake ni mrefu.

Kwa upande mwingine hivyo basi na wabunge nap wasiitwe “ waheshimiwa”... ni mjadara wa kijinga sana aliouanzisha, sijui kama hili nalo ni moja ya jukumu alilotumwa na wapiga wake.
 
Ndiyo spika MBUMBUMBU alivyooooo!

Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !

Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni

View attachment 1920289
 
Back
Top Bottom