Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Si avuliwe uspika basi!Kichwa kibovu hicho.
Ulimi hauna mfupa jombiHuyu si mtu mzuri hasa kwenye utawala huu wa maza
Kila siku anaharibu
Ni jana tu alidanganya kua yesu alikua na wife material
Huyu sio mtu wa kuamini kabisa!
Hilo ni jembe. Dawa ya vilaza wa siasa nchini hapaSi avuliwe uspika basi !
Ndugai lala basi usije ukatuambia Yesu aliwahi kuja bongo kula mtoriMh. Spika Ndugai yuko sahihi sana
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga....
Ukiacha avatar yangu, jina langu si feki meku.Ndugai lala basi usije ukatuambia yesu aliwqhi kuja bongo kula mtori
Mh. Spika Ndugai yuko sahihi sana
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga...
kama Ndugai ndio jembe la nchi hii basi bila shaka umasikini unaowakabili ni haki yenuHilo ni jembe....
Dawa ya vilaza wa siasa nchini hapa.....
Huyu si mtu mzuri hasa kwenye utawala huu wa maza
Kila siku anaharibu...
Dada wewe Kutwa kujisifu UTAJIRI 🤣🤣kama Ndugai ndio jembe la nchi hii basi bila shaka umasikini unaowakabili ni haki yenu
Na Daktari , engineer, na cpa unawazungumziaje? Wanaitwa hivyo ili kukidhi matakwa ya professions zao na kujitofautisha na vihiyo, kumbuka hata hii ya learned brother ni heshima tu, ila mchakato wake ni mrefu.Mh. Spika Ndugai yuko sahihi sana.
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga...
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Spika wa BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kama wewe ulivyo mke wa mh.Mbunge wa zamani aliyegaragazwa vibaya sana na komredi wa CCM uchaguzi wa 2020.Yeye ni nani katika hii dunia?