Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ZuzumagicKiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Kama wabunge wanavyotumia neno 'mheshimiwa', mahakamni wanasheria/mawakili wanakuwa addressed kama 'learned brothers' na nadhani ndiyo tafsiri ya 'mwanasheria msomi' au 'wanasheria wasomi'. Na hawajiiti, wanaitwa. Ni kama padri anavyokuwa addressed kama Fr au askofu Mhashamu na papa, Baba Mtakatifu (kwa upande wa Kanisa Katoliki).Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Naye angeacha kupenda kuitwa mheshimiwa spika kwani binadamu wote tunastahili heshima.Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Wa kiume alafu unakuwa na maneno ya kike. Acha upuuzi!Yaani kumiliki KAHOTELI kamumeo pale Mbeya na vibiashara unavyovitangaza msimu wa 7/7 basi unatuona sote "mahobobo malofa" si ndio eee?!!!
Mshukuruni sana hayati JPM(Rip) kwa kutobomolewa kule.....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyu si mtu mzuri hasa kwenye utawala huu wa maza
Kila siku anaharibu
Ni jana tu alidanganya kua yesu alikua na wife material
Huyu sio mtu wa kuamini kabisa!
Hapo kwenye usomi hata mm nimekuwa nikijiuliza nani wakili asiye msomi?sipati jibu .Mpk leo sijaelewa nn hasa maana ya kutanguliza neno msomi lkn ndio ilivyo tunafanyaje lbd Ilmu yao inawaruhusu kuitwa hivyo!Mh.Spika Ndugai yuko sahihi sana.....
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga.....
Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?!!!
Kwanini tutangulize "wakili msomi"?!!!!
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi [emoji106][emoji123][emoji123]
MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH.SPIKA JOB NDUGAI ,AMEEN AMEEN [emoji120]
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Mh.Wao wanaitana hivyo wakiwa mahakamani, ni heshima wanapeana kwa miaka mingi sana, na ni protokali za taaluma yao.hawaforce mtu yeyote wa nje ya taaluma yao kuwaita hivyo ,rather anatajwa jina la Wakili tu, ni kama Majaji au Mahakimu huku nje wanawaita tu Waheshimiwa ila mahakamani huitwa "My Lords/Your Honor) so hizo ni itifaki zao na hazilazimishi mtu wa nje kuwaita hivyo. hizi taaluma alizotaja zinaitwa Noble Professions, hiyo ndio ilivyo na haibadiliki na hakuna sheria inavunjwa wala inaelekeza hizo ni tamaduni.Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Richa ya kwamba huyu jamaa huwa namuona chenga,ila ana hoja nzito.Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
Sawa mkuu....Wa kiume alafu unakuwa na maneno ya kike. Acha upuuzi!
hapa spika hajatendea haki kiti na muda ambao ungetumika kujadili mambo yenye maana kidogo hapa anajishushia heshima na maana ya kuwa spikaKiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289
siyo swala la kujadiliwa bungeni wabunge wanayo mambo mengi sana na ya msingi ya kujadiliRicha ya kwamba huyu jamaa huwa namuona chenga,ila ana hoja nzito.
Kuna umuhimu gani wa kuitwa "msomi"
Wakati wewe tayari ni msomi?hayo matitle si unayo kwenye CV yako?
Kibongo bongo,kuitwa kwa title watu huona ufahari kwa sababu ya low self esteem,mtu kama Mwigulu na PHD yake ya kuunga unga hasemi kitu mpaka aseme Mimi Dokta wa uchumi,wakati kichwa kimejaa ma theory matupu.
Deputy president wa Kenya,William Ruto ni PHD holder,lakini huwezi kusikia akitumia DR Ruto
Hata Madiwani, Wabunge, Makatibu Wakuu, Mawaziri na Rais KUANZA na Mheshimiwa inakera sana.Mh.Spika Ndugai yuko sahihi sana.....
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga.....
Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?!!!
Kwanini tutangulize "wakili msomi"?!!!!
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi 👍💪💪
MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH.SPIKA JOB NDUGAI ,AMEEN AMEEN 🙏
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Nakubaliana na wewe.Mh.Spika Ndugai yuko sahihi sana.....
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga.....
Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?!!!
Kwanini tutangulize "wakili msomi"?!!!!
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi 👍💪💪
MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH.SPIKA JOB NDUGAI ,AMEEN AMEEN 🙏
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Sitashangaa kwani ndio weledi wa kitanzania.Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289