Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

wao kwanini wanajiita waheshimiwa?
 
Kwanini wao wanajiita waheshimiwa? wana nini so special?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu inferiority complex inakusumbua sana ha ha ha ha....

Tajiri unashinda mitandaoni kumtetea mh.Mbowe ha ha ha ha nikija kulala hotelini kwako nitakuja kupiga stori nawe.....
Unawezaje kupiga story na mtu kwenye infirioty complex, na tena anayemtetea Mbowe mitandaoni?
 
Mgonjwa ghali zaidi Duniani Naona bado hajapona.Hivi alitibiwa kwa bilioni ngapi vile
 
Kwanini wao wanajiita waheshimiwa? wana nini so special?
Ulikuwa ni ushauri wa ajabu ajabu sana toka kwa huyu speaker... wabunge na sasa wajadiri mambo waliyotumwa na wapiga Kura wao, hili la Wakili msomi sidhani kama ni mojawapo...
 
Hizi episodes tamu sana

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Kuna na hii hunishangaza mtu eti anajiita nfano CPA Jumbe, Engineer Jumbe huku hata kutemgeneza mtaro hajui na hivo vyeo huwa vya proud and arrogance wakati ku deliver vitu ni sifuri. Kwa hili namuunga mkono ndugai
 
Hoja wazitoe wapi hao.Hawana kitu chochote kichwani ndo maana wanakimbilia kuattack mtu na mambo ya kijinga.
 
Kama vile nisivyoelewa kwa nini wabunge wanatulazimisha tuwaite waheshimiwa wakati kuna wengi tu wasiostahili heshima! Heshima hailazimishwi.

Amandla....
 
Pole sana. Ukweli ni kuwa JF imebadilika sana. Sasa hivi imekuwa kawaida watu kutumia lugha za matusi ya nguoni. Nadhani imekaa kibiashara zaidi ya wakati wa awali.

Amandla...
 
Kwani mkude wameshamaliza kumpima? Inabidi iwe zamu ya vipimo vya muheshimiwa SUPIKA
 
Tangu juzi nimesema humu wasipomwahisha murembe kuna siku atavua nguo mbele yao ndii watajua kuwa zinazidi kupotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila profession inapenda kujitofautisha na wengine. Ndio maana Baba wa Taifa alikuwa anajivunia sana ualimu wake na mpaka mwisho alikuwa anatambulika kama Mwalimu Nyerere.

Hivyo hivyo kwa fani nyingine. Mara nyingi hizi sifa sio kwa sababu ya shule tu bali uzoefu na kukubalika baada ya kupimwa na wanataaluma wenzako. Sio kila mtu aliyesomea uhandisi ana haki ya kujiita Mhandisi fulani. Ni wale tuu waliopitishwa na bodi yao ndio wenye haki hiyo.

Hivyo hivyo sidhani kama watu wote waliosoma sheria wana haki ya kuitwa advocates au mawakili wasomi. Huyu muanglikani haoni shida kumuita Baba padri wake ambae ana umri wa mtoto wake!

Hii ni "much ado about nothing". Wamekosa kitu cha kujadili maana wanajiona kuwa ni sehemu ya serikali na kazi yao ni kutetea serikali kwa nguvu zao zote.

Amandla...
 
Hata watu wa nje hawapendi kujikweza na ma title ka huku bongo mara bossi, mara Prof, mara Dr mara engineer, hivo vyote wanavopenda ni watu hawajiamini na wapenda ma pride, iweje watu wa nje iwe nadra hata kufahanu title zao ingawa wamefanya makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…