Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Duuh🤣In all my social media experiences nimekutana na Machawa wengi na wa kila design, but you Chief umeibeba bendera ya uchawa!!!
Hongera sana!
🤣🤣Umenena Cariha yaani vituko vitupu....vituko haswaa ha ha ha....Kuna na hii hunishangaza mtu eti anajiita nfano CPA Jumbe, Engineer Jumbe huku hata kutemgeneza mtaro hajui na hivo vyeo huwa vya proud and arrogance wakati ku deliver vitu ni sifuri. Kwa hili namuunga mkono ndugai
Je meshamjulisha na mungumtu wako Ndugai? Namba ya simu je?Ukiacha avatar yangu, jina langu si feki meku.
Nani wa kumvua wakati wanaotakiwa kumuondoa waliingia Bungeni kupitia dirishani.Si avuliwe uspika basi!
Japo topic kama hii sipendi sana kuongea lakini hapa kwetu Africa ukienda kusoma PhD wakati wewe ni tajiri na unasomea vyuoni vikuu vya hapa nyumbani inafikirisha sana, hii ni kutokana na utamaduni wa pesa kufanya kazi kwenye matokeo. Yote kwa Ruto na Mwigulu pia.Richa ya kwamba huyu jamaa huwa namuona chenga,ila ana hoja nzito.
Kuna umuhimu gani wa kuitwa "msomi"
Wakati wewe tayari ni msomi?hayo matitle si unayo kwenye CV yako?
Kibongo bongo,kuitwa kwa title watu huona ufahari kwa sababu ya low self esteem,mtu kama Mwigulu na PHD yake ya kuunga unga hasemi kitu mpaka aseme Mimi Dokta wa uchumi,wakati kichwa kimejaa ma theory matupu.
Deputy president wa Kenya,William Ruto ni PHD holder,lakini huwezi kusikia akitumia DR Ruto
Kufuru ya kumuita Mungu nakuachia mwenyewe....Je meshamjulisha na mungumtu wako Ndugai? Namba ya simu je?
Kumbuka sio kila mwanasheria ni Wakili lkn kila wakili ni mwanasheriaMh. Spika Ndugai yuko sahihi sana
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga
Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?
Kwanini tutangulize "wakili msomi"?
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi [emoji106][emoji123][emoji123]
MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH. SPIKA JOB NDUGAI, AMEEN AMEEN [emoji120]
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Kwa hiyo mwanasheria ni wakili?!!Kumbuka sio kila mwanasheria ni Wakili lkn kila wakili ni mwanasheria
Huo ni utamaduni wa Dunia nzima wansheria/mawakili kuitana WASOMI hawez kubadilisha. Nakumbuka prof Luhanga litaka engineers nao waitwe wasomi ikashindikanaMh. Spika Ndugai yuko sahihi sana
Ameamua kuivunja minyororo ya mazoea ya kijinga
Mathalani hivi ni nani awezaye kuwa WAKILI bila ya kusoma?
Kwanini tutangulize "wakili msomi"?
Namuunga mkono Spika wetu Mtunduizi [emoji106][emoji123][emoji123]
MWENYEZI MUNGU AMBARIKI NA KUMLINDA MH. SPIKA JOB NDUGAI, AMEEN AMEEN [emoji120]
#NchiKwanza
#SiempreJMT
Kwa bidii na HAYO matendo yako ni wazi kuwa utabaki nayo MWENYEWE.Kufuru ya kumuita Mungu nakuachia mwenyewe....