Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ndugai wamemsema mpaka amepata maluweluwe.
Rais anataka tu kuliangamiza taifa na pressure zake za 2025. Come 2025 rais anataka aonekane amempiku Magufuli kwa kila kitu.
Hii inaitwa kicking the can down the road. Sooner or later itabidi tulipe hayo madeni.
Usisikie mtu anakuambia madeni yanalipika. Huo ndio mchezo wa IMF.
Mpango alienda New York kukopa hela. Siku gu goyo yo aliyo touch down JFK Airport Brookings Institute wakaandika red alert kuhusu madeni ya Tanzania.
Watanzania ni Waafrika. Wanaweza austere living. Wanaweza maisha ya kufunga mikanda. Itisha kura ya maoni Bungeni rais tumrudishe Pemba.