Ndugai aulizwe kwanini Bungeni wamepelekana Wabunge wa CCM pekee na kama hawaoni hatari yake kwa mshikamano wa Taifa

Ndugai aulizwe kwanini Bungeni wamepelekana Wabunge wa CCM pekee na kama hawaoni hatari yake kwa mshikamano wa Taifa

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Watanzania wapaswa kuwaogopa sana wanasiasa, tena ikiwezekana kuwasusia mikutano yao ya hadhara na kuwaweka kundi moja na walowezi wa kizungu kule Afrika Kusini.

jana spika Ndugai alisema kuwa Serikali iajiri kwa usawa wa kijiografia! Aibu kubwa kwa spika huyu asiyejua maana ya ajira.

Nchi hii haiko evenly distributed in terms of population sasa utatoa vipi ajira kwa usawa wa kijiografia?

CCM mlipopeana ubunge kwa tenki hamkujua kuwa mtaleta mpasuko?

Kwanini ajira za watoto wetu ila ubunge mpo tayari kuua ili tu mjipatie nafasi?
 
Hivi huyu mnafiki Ndugai akidondosha simu inavunjika kweli? Maana sio Kwa ufupi uleee.
 
Back
Top Bottom