Ndugai na genge lake wasituharibie nchi!

Na hayo mazee uliyoyataja hapo juu nayo yameshakuwa matilatila tu, hasa lile lisanamu la michelin bure kabisa!!
 
Huyo "agwe" Ndugai, kwa kitendo tu cha kumchapa bakora, mgombea mwenzie wa CCM hadi kuzirai, nimemtoa katika binadamu wa kawaida!
 
Hawa watu wanaonekana wapo serious na hiyo kitu washaanza kunogewa na madaraka.
 
Kama Ndugai anampenda sana Jiwe basi ampe dada yake amuoe kisha amfanye shemeji yake huyo kuwa mkuu wa Ukoo wao bila term limits, lakini nchi yetu hii ya Tanzania siyo ya kufanywa mali ya mtu binafsi

Ndugai asituchezee kabisa sisi!
 
Ndugai na genge lake wanajua wazi kabisa kwamba katika uchaguzi ulio huru na wa haki, hakuna mwananchi mwenye akili timamu atawapa kura. Kazi yao ni kupora kura kwa kutumia vyombo vya dola na mathalani Mporaji wao Mkuu yuko usukani, watakesha wakitambika asiachie madaraka. CCM mkae mkiisikia tu...ni genge fulani la hatari kweli kweli.
 
Akina Ndugai ni walevi tu wa madaraka.
Hata mzee Msekwa anesema wanaotaka Magufuli aongezewe muda wa uongozi baada ya muda wake wa kikatiba kuisha ni watovu wa nidhamu na wanaongea upuuzi tu

Watch video:
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…