gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,312
- 3,345
Wanabodi salaam,
Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini.
Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh Ndugai ni tofauti kwani tulitarajia kuwe na ratiba kwenye kukatika kwa umeme na wananchi waelezwe ratiba hio.
Kibaigwa umeme unakatika mithiri ya mtu anaechezea swichi,umeme kwa kutwa unaweza katika na kurudishwa hata mara 12 kwa siku kitu ambacho utagundua tatizo ni Tanesco sio ukame.
Kama tatizo ni ukame,umeme ungekatwa kwa ratiba iliokuwa wazi kwa wananchi wote.
Tafadhari mh Ndugai tunaomba tusaidie kufuatilia hili,mambo ya mikopo ya nchi muachie Samia.