Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ndugai kama ana masikio, na asikie.Kisiasa Ndugai ni sikio la kufa, halisikii dawa!
Ndugai amekiri kupokea barua ya Chadema japo ameiita ni kiperurushi.Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?
Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?
Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Hiyo barua imepita tume ya uchaguzi kupinga na pia kwa msajili kuonyesha utaratibu waliotumia kuwafukuza hao wabunge kama sheria ya chama chao inavyotaka?Ndugai amekiri kupokea barua ya Chadema japo ameiita ni kiperurushi.
Kwanini waliofukuzwa uanachama hawajawah kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao?badala yake wamejitokeza watu nje ya chama walimofukuzwa hao wanachama na kuwatetea Kwa nguvu kubwa sana.je waliofukuzwa uanachama hawaijui katiba ya chadema?I'll swali Lima nisumbua sana.Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?
Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?
Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Kumbe na wewe ni mgeni wa jiji? Ufungue kesi mahakamani kwa hawa majaji wa jiwe? Kesi itaisha 2025 November halaifu utaambiwa umeshinda wakati huo kina Covid washalipwa mafao yao.Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?
Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?
Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Mkuu unakuwa kama mbuni aliyezika kichwa mchangani na kuacha makalio hewani kudhihirisha aibu yake.Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?
Na kama ndugai anahusika kughushi kwa nini chadema wasifungue kesi juu ya hilo?
Chadema mara ngapi wamekuwa wakifungua kesi kudai haki zao, ila hili limewashinda kufungua kwa kipi?
Jiulize swali hilo?
1hawajui mahakama zilipo?
2hawana pesa za kufungua kesi?
3hawana mwanasheria wa kuwasimamia hiyo kesi?
Baada ya hapo ukikosa majibu, nasibujue kuna shida chadema.
Kwi Kwi KwiHamna kitu mle, tumuombee Godbless Lema yatimie
View attachment 1801473
View attachment 1801474
View attachment 1801475
View attachment 1801476
Ndugai aone alama za nyakati!Ndugai anaacha legacy ya hovyo sana
Barua aliyoonyesha Ndugai ni kusema kuwa wakina Halima wamefukuzwa uanachama wa Chadema ambayo ilimchukua muda mrefu kukiri kuwa aliipokea. Nakala ilipelekwa NEC. NEC nao waliandikiwa barua kuwataarifu kuwa Chadema haijawateua wakina Halima Mdee kuwakilisha chama chao kama wabunge wa viti maalum. NEC kimyaaaa. NEC na Spika wangetoa nakala za barua na fomu za uteuzi kutoka Chadema, mchezo wote ungeisha na wakina Halima wangetambuliwa kuwa ni wabunge halali. Ukimya wao unaonyesha kuwa ama hawana barua yeyote ya uteuzi au wanajua waliyokuwa nayo ni ya kughushi.Hiy
Hiyo barua imepita tume ya uchaguzi kupinga na pia kwa msajili kuonyesha utaratibu waliotumia kuwafukuza hao wabunge kama sheria ya chama chao inavyotaka?
Kwa nini chadema hawataki.kuheshimu katiba yao huku wanataka wengite waheshibu katiba?
1. KAMA CHADEMA WANASEMA WAO HAWAJASAINI NA KUNA KUGHUSHI, VYOMBO VYETU VYA USALAMA VINASUBIRI NINI KUINGILIA KATI. KWA AKILI ZAKO KAMA KUNA TUHUMA ZA KUGHUSHI KATIKATI YA SAKATA HILO WANAOPASWA KUUMIZWA NA TUHUMA HIZO NI CHADEMA NA SIO SERIKALI, LIKIWEMO BUNGE, SIYO?Nani anapaswa kubaisnisha ni za kugushi kati ya ndugai au chadema?