Ndugai, suala la Ubunge wa Mdee kubalini makosa ili myasahihishe na mheshimike

Swala la kina Mdee nimeona tangazo la Kipindi cha Dakika 45 (ITV) likiongelewa na Mzee Butiku, natamani niangalie nione busara zake Mzee juu ya sakata hili. Mzee Msekwa aliliongelea ila Bwana yule kaendelea kushupaza shingo yako..
Kimsingi mzee Butiku amesema tue na ujasiri wa kukubali makosa ili tuwe na ujasiri vile vile wawa kuyasahihisha.
 
Mkuu tatizo ni deeper zaidi.
Na linawahusisha viongozi wengi ingawaje mwenye dhamana ya kukubali kosa ni Ndugai.
Forgery ya matokeo ya Uchaguzi mwaka 2020, haya ndio matokeo yake.
Wajamaa(Tume na maDED) kwa kibali cha Mwendazake wali forge matokeo YOOOTE bila kutilia maanani kuwa kuna vyeo kikatiba ndani ya Bunge inabidi viongozwe na upinzani.

Hili sakata la kina Mdee ni mkakati huo wa kuendelea kuforge matokeo, ambayo kiukweli CHADEMA haihusiki.
Huhitaji kusoma degree kuelewa hilo.
 
Kwanza, yapo hawa wabunge waliobatizwa 'Covid-19' kuna taarifa kwamba wengine wala sio wanachama wa Chadema, bali walikusanywa tu ni ndugu au watu wa karibu na hao unaowaita 'viongozi wengi'. Ukweli ni kwamba hili la hawa 'wabunge' limeonyesha kuwa hii nchi imejaa 'walafi"!
 
Hivi NDUGAI alifika form four.?
Mbona reasoning yake hai reflect Kama mtu aliyekwenda shule. How can he disregard a genuine letter and trust a forged document?
Nasikia huko Dodoma hata drs la Saba anaweza kupewa ubunge.
 
Hivi ni kwa nini CHADEMA hawalichukui swala hili mahakamani?
 
Hamna kufungua kesi wala kupeleka vielelezo zaidi kwa matakwa yake binafsi, awang'ang'anie tu ili aendelee kushambuliwa hadi ajitambue, kwa kuwa hana utetezi wowote wa kuwaweka bungeni!
 
Hamna kwenda mahakamani, ni kupoteza muda na nguvu, hukumu itatoka eti ule muhimili mwingine, hivyo hatuingilii hata wakilikoroga!
 
Kati ya viongozi ambao siku wakiondoka, wananchi watafurahi na kusema, balaa limeondoka, mojawapo ni huyu Ndugai.
 
Nadhani walikuwa wanafungua wakati tulipokuwa na mahakama. Tangu marehemu alipofuta mahakama na Bunge, kwenda mahakamani ni kupoteza muda.
 
Wafungue kesi kwa nani wakati baada ya uchaguzi ilitolewa Mahakama yoyote ambayo siyo ya Tanzania haiwezi kusikiliza kesi za uchaguzi,na mwendazake alipanga safu yake ya upumbavu kuanzia mahakama,bunge,polisi na idara nyingine.
 
kweli kabisa.
 
Katika jambo hili Ndugai tunamdai kwani tumemkinai kwa ulaghai.
Ndugai ni fedheha kwa kiti anachokikalia. Kuna siku atasema "Hivi kweli ni mimi niliyewapokea wabunge hawa waliouwa wamefukuzwa
na chama chao? Inawezekana nilikuwa usingizini"!!
 
Ndugai ni fedheha kwa kiti anachokikalia. Kuna siku atasema "Hivi kweli ni mimi niliyewapokea wabunge hawa waliouwa wamefukuzwa
na chama chao? Inawezekana nilikuwa usingizini"!!
Usemayo ni kweli, unafahamu yakuwa hamna aliyetaka tume huru kipindi cha jiwe kama mkapa, lakini alipokuwa madarakani hakuiunda!
 
Hiy

Hiyo barua imepita tume ya uchaguzi kupinga na pia kwa msajili kuonyesha utaratibu waliotumia kuwafukuza hao wabunge kama sheria ya chama chao inavyotaka?
Kwa nini chadema hawataki.kuheshimu katiba yao huku wanataka wengite waheshibu katiba?
Katiba ya jamhuri inasemaje juu ya sifa ya mbunge???? Wale wa cuf mbona hapakuwa na maneno maneno
 
U
Katiba ya jamhuri inasemaje juu ya sifa ya mbunge???? Wale wa cuf mbona hapakuwa na maneno maneno
Unajua kuna sheria ilipitishwa 2019 ya vyama vya siasa au unajitoa ufahamu bwashee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…