Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua.

Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
Walio karibu na Ndugai, watuthibitishie.

Kama ni kweli, basi yatakuwa maajabu makubwa! Awekwe kizuizini kwa kosa gani?
 
Amelazimishwa kujiuzulu
Hilo hakuna shaka. Na bila shaka baada ya kumlazimisha, watamtisha ili asitoe tamko lolote, au akitoa itakuwa ni kuendelea kuomba msamaha.

Mbinu hii ya kutisha wamekuwa wakiitumia pia kwa wanaotekwa na kisha kuachiwa.
 
1641628986536.jpeg
 
Amelazimishwa kujiuzulu kisiasa si kijeshi. Alitoka mwenyewe akakiri kosa akaomba msamaha, kisiasa ukikiri kosa unashinikizwa ujiuzulu. Sasa shinikizo likamzidi akajiuzulu.
 
Really !!?? It isn't necessary. This is an old fashioned way of dealing with arising issues.
 
Ila taarifa inadai "hajalazimishwa":

Halafu, ikapelekwa chamani.

Wanasaikolojia watakuwa wamenielewa kwenye mstari wa kwanza.

Wanasheria wamenielewa kwenye mstari wa pili.
 
Ngoja niende geto kwake Kisasa nikampe hi......ila siamini kama hilo linaweza kutokea kwenye uongozi wa Sa100........
 
Back
Top Bottom