Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,270
Walio karibu na Ndugai, watuthibitishie.Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua.
Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
Amelazimishwa kujiuzuluWalio karibu na Ndugai, watuthibitishie.
Kama ni kwelu, basi yatakuwa maajabu makubwa! Awekwe kizuizini kwa kosa gani?
Hilo hakuna shaka. Na bila shaka baada ya kumlazimisha, watamtisha ili asitoe tamko lolote, au akitoa itakuwa ni kuendelea kuomba msamaha.Amelazimishwa kujiuzulu
Awekwe kizuizini ili nn sasa? Kama ni ili asiseme sijaandika barua ya kujiuzulu siku akiachiwa si atasema tu hata kama ni mwakani?Amelazimishwa kujiuzulu
Amelazimishwa kujiuzulu kisiasa si kijeshi. Alitoka mwenyewe akakiri kosa akaomba msamaha, kisiasa ukikiri kosa unashinikizwa ujiuzulu. Sasa shinikizo likamzidi akajiuzulu.Hilo hakuna shaka. Na bila shaka baada ya kumlazimisha, watamtisha ili asitoe tamko lolote, au akitoa itakuwa ni kuendelea kuomba msamaha.
Mbinu hii ya kutisha wamekuwa wakiitumia pia kwa wanaotekwa na kisha kuachiwa.