ndugu anatafuta nyumba ya kununua

ndugu anatafuta nyumba ya kununua

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
1,385
Reaction score
568
wana jf
mimi siyo dalali,
namtafutia ndugu nyumba ya kununua,iwe daresalaam',nyumba iwe na uzio/fence.eneo kubwa la kutosha,maeneo mazuri,e.g kijitonyama,kinondoni,mwenge.bei isizidi millioni 129.
kama una nyumba nzuri,nitumie picha,or pm me,
isiwe,mbali ya mji,kimara,mbezi ya moro rd,mbagala,gongo lamboto,etc
nyumba iwe na hati,
 
Okey
kuna nyumba tunauza ipo gongo la mboto.Ina fensi,choo cha ndani na nje na bafu,vyumba vya nje 2 vikubwa.Ina vyumba 3 ,dining na seating room
ipo sehemu ambayo gari linafika paka mlangoni.
Half kilomita from the main road.
Mimi sio dalali.Ni nyumba yetu tunauza.
 
Mwambie nina shamba Ekari 10 Mbezi Msumi, Mahali pazuri sana pa kujenga nyumba anayoitaka nipigie 0712234095 JAMIE
 
Back
Top Bottom