wana jf
mimi siyo dalali,
namtafutia ndugu nyumba ya kununua,iwe daresalaam',nyumba iwe na uzio/fence.eneo kubwa la kutosha,maeneo mazuri,e.g kijitonyama,kinondoni,mwenge.bei isizidi millioni 129.
kama una nyumba nzuri,nitumie picha,or pm me,
isiwe,mbali ya mji,kimara,mbezi ya moro rd,mbagala,gongo lamboto,etc
nyumba iwe na hati,