Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Hai msirudi nyuma na kuwachagua ccm kwanza nashangaa kwamba kuna chama kinachoitwa ccm huko HAI!Ndugu EMMANUEL KWAYU, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya dolphin sea and air amejitosa kugombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa likishikiliwa na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe.
Ndugu EMMANUEL KWAYU, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya dolphin sea and air amejitosa kugombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha mapinduzi. Jimbo hilo lilikuwa likishikiliwa na mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe.