Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.

Stanbic kafanya kipindi kifupi sana kujustify conclusion yako. Usiusemee moyo!
 
Duuh!
Huu uzi umenifungua. Kuna wamkati alikuwa anafanya kazi Praise Power, alikuwa kiongozi fulani... Nikasoma kwenye gazeti moja la udaku, kuwa kuna mtangazaji wa redio ya mama Rwakatare ni shoga, Mama kaambiwa muda mrefu lakini hachukui hatua. Tena wakasema jina lake ni HK. Wakati huo kulikuwa na HK wawili, wenyewe walikuwa wanajiita HK1 na HK2. Baadaye nikasikia alikuja kutimuliwa ingawa sikujua kwa kosa gani.

Pia nilishamuona akiwa MC katika sendoff fulani, kama alivyosema mtoa mada, he is not man enough! Na huko kutinda nyusi hata kama mwanaume unajipenda, unafanya scrub, message, unajichubua na mazagazaga yote ya wanaume wa .com, lakini kutinda nyusi kwa staili ya kike, kwangu ni hapana, itatufanya tuamini yanayosemwa! Kujipenda gani huko? Tena ukijua kabisa wewe ni mpendwa, tena kazaliwa katika familia ya kichungaji sijui kiaskofu, yaani ni wale waliokulia madhabahuni! Najua yuko humu, anadharaulisha wazazi wake, mke wake, watoto wake, kanisa lake na wote waliokaribu nawe. Au la hawezi, atangaze tu biashara, ijulikane wazi....
 

Mi sio kaka,barikiwa
 
Hii habari ya kuwa jamaa ni punga imekuwako mtaani zaidi ya miaka mitano sana. Inaaminika aliondoka PPR kwasababu ya ''maneno haya kuzidi na hivyo kuelekea kudhalilisha radio na kanisa la Mama Rwakatare- anyway haya yote ni maneno ya kusikia na kusoma kwenye magazeti ya udaku.

Ila la ukweli ni kuwa kipindi chake Clouds kinaboa sana sana. Wakati wa Njogopa sikuwa kukosa kipindi hiki hata siku moja. Lakini sasa huwa si tune kabisa aubuhi. Tatizo lake ni kujiona kuwa amefika, muelewa, na maarufu wakati bado ni mchanga na shuleless. Lat week alikuwa hapa OUT labda anataka kuongeza elimu-wazo zuri
 
Hata mimi namfahamu Harris muda mrefu sana, ana mke na mtoto wa kiume mmoja, anajipenda sana na yuko smart sana,,,kumbukeni unaweza ukawa na homorne za kike lakini usiwe shoga, kwani wadada wote wenye homorne za kiume ni wasagaji???
 
Huyu jamaa alishawahi kusherehesha arusi ya ndugu yangu fulani kusema kweli sikupenda swaga zake maana zimekaa kibofloboflo,kuna walakini!
 
Stanbic kafanya kipindi kifupi sana kujustify conclusion yako. Usiusemee moyo!

Sawaaa,sikatai ila tabia ni kama ngozi jaman...kama angekuwa shoga si tungeona,huo muda fupi sio wiki moja au mbili na wala sio mwezi...maaana vitu vingine mseme mkiwa mmeshuhudia,kuliko kufanya dhana kwasababu tu ya swagga zake zinaboa..mmeshamshuhudia akigeuzwa mpaka mumuite shoga??? maana shoga hata itokee nyapu ya mdada hapo hashtuki,vipi yeye ana watoto..au ndo kapandikiza???
 
Inaeleke ulizoea walokole walee wazamani, walokua wakivaa suruali nyeusi au sketi nyeusi na mashati meupe yamepauka shingo na vumbi. Pole wokovu wasiku hizi umeboreshwa, wadada kutoga maskio, hakuna vilemba tena, kusuka kwakwenda mbele, wakaka utanashati ndo usiseme raha tupu kwa yesu. Mbinguni havitaingia vinyonge na vichafu, huyo kaka ndo alivyozaliwa hajatinda wala nini. Nadhani wewe ndo sio msafi.
 
Haiwezekani mwanaume ujirembe kama mwanamke then tubaki kukuita mwanaume. Huyu jamaa atakuwa ana matatizo.

Kuhusu swala la kuoa, kuna washkaji kibao wameoa na wanafamilia zao lakini ni machoko.
 
Ni kweli kipindi cha Gospel Track (GT) siku hizi kimekosa ladha hasa baada ya HK (Haris Kapiga) kupewa kukiendesha. Jamaa anaongea sana hata masuala ambayo siyo ya Gospel Track. Hakika nammiss sana yule mtangulizi wake. Track zilikuwa tamu masikioni worship, akapela, choir tena za Vinega wa Injili isyyo hawa wapiga madebe anaoweweka HK. ah siku hizi wala sisikilizi tena tena GT. Nasikiliza za Morning Star au Upendo FM. Mtangulizi wa Harris alijua kupangilia songi za ukweli hata ukiwa kwenye Daladala unatamani usishuke. Uko wapi Bro? La kuongezea Hk ni mkaka mtanashati anayejua kupangilia Pamba. Ni sharobaro wa kati kama alivyo babake Banana Zoro kwa ufupi anajipenda labda wale wakaka wasiojijali kimavazi na usafi wa mwili ndio mnamuita Punga.
 
Haiwezekani mwanaume ujirembe kama mwanamke then tubaki kukuita mwanaume. Huyu jamaa atakuwa ana matatizo.

Kuhusu swala la kuoa, kuna washkaji kibao wameoa na wanafamilia zao lakini ni machoko.

Naku support kwa ilo 100% mzee!
 
ila sipendi kabisa anavyokiendesha kipindi cha gospo traks, it used to be my fav on sunday monings
anaongea saaaaana, na mambo ya kupaisha paisha watu
amenikera mpaka nammiss yule jamaa wa kabla yake!!!!
Yani we acha tu. Mi nakaribia kuacha kusikiliza hicho kipindi ambacho nilikuwa sikikosi. sasa si gospo traks, bali ni gospo talks maana longolongo zimekuwa ndo ada ya kipindi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…