Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
WEWE uliyekuja hapa na hayo maneno yako ya upashkuna eti haris katinda nyusi si kweli!
IVI jamani twende mbele turudi nyuma.UWE umekaa kitini mimi naendesha UE MC mbele unazionaje nyusi zangu au wewe ulikuwa unaenda mbele yake na kumchungulia na kurudi kitini?
COME ON GUYS LET US BE REALISTC!....CA MANENO MBOFUMBOFU
MARA clouds hatusikilizi huku mnafuatilia kila jambo lao!
UMASIKINI WA ROHO NI MBAYA ZAIDI KULIKO UCHAWI!!AAAAAAAAAGHHHHHHHHHHHHHH!!!GGGGGGGGGGHHHH!
 
inawezekana ikawa anazibiliwa na ndoa anayo. me mwenyewe sina imani na huyo kiumbe ka chakula vile.
 
Nilihudhuria sherehe moja huyu bwana alikua ndio mshehereshaji

Nilikua simfahamu kabisa sababu mi sio mpezi wa vipindi vya dini na ile ndio ilikua mara ya kwanza kabisa kumuona na kumfahamu

To be honest, nikiwa kama mwanaume nilijisikia vibaya sana na aibu kwa jinsi bwana yule alivyokuwa anaji behave

Sitaki kumuhukumu kama ni shoga moja kwa moja lakini siwezi kupuuzia ukweli pia bwana yule anavinasaba vya ukike kike
 
"Sijui wiki nzima ndo anakula bata tuu. Hainihusu"
unachuki au..unajua shuguli zake huyu...au ukionamtu weekend tu kwenye kipindi ndio unajua ana kazi sik hiyo tu...ask before.....watu wana shuguli nyingi kwenye jamii
 
alikuwa MC sawa? hope aliingiza pesa ndefu kwa uelewa wangu c chini ya 1m. wenye sherehe walipenda wewe mwalikwa na huenda ulizamia bila kadi ukakeleka? jaribu kufanya yako achana na ya wengine as longer as hayagusi maisha yako binafsi . mind your business
 
Kuna mambo hujayajua, ukiyajua utanyamaza mwenyewe!
 
Mhhh makaburi............ ,ila dah huyu jamaa naomba isiwe kweli,yaani dah.... eee Mungu waokoe waja wako.
 
Baada ya miaka saba ya hii posti YAMETIMIA
 
Watu wanakula mzigo kitambo mno
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…