josephdeo
Member
- Nov 23, 2015
- 95
- 207
Yapo mengi umejifunza au unayafahamu. Kuhusu wateja katika biashara yako. Sababu biashara ndogo zinawahitaji zaidi wateja kuliko wateja wanavyozihitaji.
Ila kuna nyongeza katika hayo nayo ni kuhusu saikolojia hii kuhusu watu. Ndani ya kichwa cha binadamu huwa kuna kitu ambacho mara zote huoji juu ya faida yake kwenye jambo lolote analoshiriki.
Kama mjasiriamali na unataka kuongeza idadi ya wateja. Unapaswa kuhakikisha kwenye bidhaa/huduma yako kuna jambo lenye faida kwa mteja.
Lifahamu ili ya kuwa watu huwa hawajali kuhusu bidhaa/huduma yako. Wanachojali pekee ni kile kilichopo kwa ajili yao kwenye bidhaa/huduma yako.
Hivyo basi jitahidi kila mara kuhakikisha unamuonesha kwanini ni lazima akuchangie bidhaa/huduma yako. Na faida atakazozipata mara atakapopata bidhaa/huduma kutoka kwako. Asante!