Ndugu, naomba msaada kupata mwalimu wa kubadilishana vituo

Ndugu, naomba msaada kupata mwalimu wa kubadilishana vituo

moto nkali

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
328
Reaction score
106
Ndugu wanajamvi,

Mwalimu Spicta Nurdin anayefundisha shule ya sekondari katika manispaa ya Musoma. Anaomba mtu yoyote wa kubadilishana
naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa.

Natanguliza shukrani.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom