moto nkali JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 328 Reaction score 106 Aug 4, 2014 #1 Ndugu wanajamvi, Mwalimu Spicta Nurdin anayefundisha shule ya sekondari katika manispaa ya Musoma. Anaomba mtu yoyote wa kubadilishana naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa. Natanguliza shukrani. Ahsanteni.
Ndugu wanajamvi, Mwalimu Spicta Nurdin anayefundisha shule ya sekondari katika manispaa ya Musoma. Anaomba mtu yoyote wa kubadilishana naye anayefundisha mkoa wa mbeya au iringa. Natanguliza shukrani. Ahsanteni.