Ndugu Nape kuwa wakala wa DSTV sijapenda

Fundi CEO

Senior Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
169
Reaction score
192
Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi.

Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha sheria kwa ajili ya kuipa upper hand DStv.

Wakati kihuhalisia swala lilikuwa ni leseni walitakiwa kulipia, Kama alivyo Fanya AZAM.
 
Najaribu kuangslia sasa hivi hata TBC haipo. Nipeni msaada ITV ni namba ngapi wapendwa?
 
Watzn mna maneno Sana.
 
Kwa kuwa ulikuwa miongoni mwa mliotufungia watanzania gizani hata kuondosha channel za ndani na kutuachia kile chombo Cha chama na vyombo mamluki wa chama. Roho na ikuume sana wenzio wameshatambua ilikuwa fatal mistake.
 
Mkuu umeanza kumiliki decoder lini? Na unatumia deocder ipi na sheria inasemaje kuhusu chanels za bure?
 
Kwakuwa tulitunga Sheria Kwa kuwakomoa wengine Kwa uzalendo uchwara acha tupambane na matokeo yake.
 
Watanzania bhana
 
Ulitaka Awape TBC ya CCM

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…