The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia
Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea.
Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo mambo.
Hukumu yenu yaja watu wanaelewa sana janjajanja yenu.