Dah hapa sas ndyo viongozi wanadhihirisha ujinga wao,
Mambo ya mpira ambayo hayana tija mambo siyo ya lazima anayatolea tamko lakin kwenye mambo ya msingi amekausha kana kwamba hajui kinachoendelea
Walalahoi tupambane tu na hali yetu amna viongozi wote wapo after money tu kwa matumbo yao and they dont care about us !