mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,
Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa kumteua kwa high post?
Naendelea kukwambia Nchimbi,mamlaka ya uteuzi ambaye ni rais,ina jicho pana sana
Hapo ulipo wewe na huyo mwenezi Makala mmepwaya sana,sana mpo hapo kupanga safu za uongozi kuelekea 2025 election tu,si kumsaidia mwenyekiti wa chama,
Kukemea tu wabadhirifu wa mali ya umma na viongozi wazembe mmeshindwa,kazi kusifia watumishi wasiowajibika