mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
2025 tunaponya majeraha ya 2015 πππSi team Lowassa mwenzake.
Asante mwalimu kashasha2025 tunaponya majeraha ya 2015 [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako Serukamba
Ni kweli hawa watu wamepwaya sana isee..!Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,
Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa kumteua kwa high post?
Naendelea kukwambia Nchimbi,mamlaka ya uteuzi ambaye ni rais,ina jicho pana sana
Hapo ulipo wewe na huyo mwenezi Makala mmepwaya sana,sana mpo hapo kupanga safu za uongozi kuelekea 2025 election tu,si kumsaidia mwenyekiti wa chama,
Kukemea tu wabadhirifu wa mali ya umma na viongozi wazembe mmeshindwa,kazi kusifia watumishi wasiowajibika
Mambo yameanza naona2025 tunaponya majeraha ya 2015 πππ
Kwako Serukamba
Unajua amempa rushwa kiasi gani?Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,
Swali Kingu kazi zipi njema anazozifanya mpaka ukaona mamlaka zinafaa kumteua kwa high post?
Naendelea kukwambia Nchimbi,mamlaka ya uteuzi ambaye ni rais,ina jicho pana sana
Hapo ulipo wewe na huyo mwenezi Makala mmepwaya sana,sana mpo hapo kupanga safu za uongozi kuelekea 2025 election tu,si kumsaidia mwenyekiti wa chama,
Kukemea tu wabadhirifu wa mali ya umma na viongozi wazembe mmeshindwa,kazi kusifia watumishi wasiowajibika
Golden Chance.Binafsi hata sionagi maajabu ya Nchimbi kwenye siasa.Naona jamaa ni mnafki,mchawi.2025 tunaponya majeraha ya 2015 πππ
Kwako Serukamba
Kapoa sana, hana amsha amsha.Golden Chance.Binafsi hata sionagi maajabu ya Nchimbi kwenye siasa.Naona jamaa ni mnafki,mchawi.
Ni kweli hawa watu wamepwaya sana isee..!
2025 tunaponya majeraha ya 2015 πππ
Kwako Serukamba
Kingu ni nani huyu. Hili jina ni familiar kidogo.Nimekusikia ukiwa ziarani Singida jimboni kwa Elibariki Kingu eti ungekuwa na mamlaka ungemteua kwa kazi nzuri inayoifanya,