Ndugu wana JF.
Napenda kuwatangazia kwamba kuna watu wanatumia mitandao ya simu kuwaibia watu kwa kuwapa taarifa mbali mbali za kizushi. hivi leo nilikuwa nyumbani mara akaja jirani yangu akitaka nimpatie pesa shilingi laki mbili kwani kuna mtu anataka kumtumia shs. milioni kumi na nne kupitia tigopesa yake.
Alijitambulisha kama yeye anaitwa james and alifanya kazi ka driver na mama huyo and sasa anafanya kazi benjamini mkapa foundation but kabanwa na kazi huko mashambani rufiji kwani anaratibu matrector ya msaada. Ground za kutumiwa pesa hizo ni kugharamia shughuli za ulinzi pale shambani so that afike mjini ikwiriri kucash account ya mama. ni story ndefu.
well nilijaribu kumfahamisha mama huyu kuhusu scam hiyo but hakuonesha kunielewa so nikabidi nimtumie tigo pesa mpaka ile sehemu ya kuweka password and so nikamuonesha mama yule actual name.
nimeweka hili jina hadharani so that kama mtu atakuwa anamfahamu or anaweza kumtrace or anaweza kujifunza wizi wa aina hii.
tuwakemeee watu hawa kwenye jamii yetu.
Regards.