Ndugu Simba SC au Singida FG, tutachezesha kikosi kingine jumapili na haturudii hiki tena

Ndugu Simba SC au Singida FG, tutachezesha kikosi kingine jumapili na haturudii hiki tena

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje.

Hawa hapa hawakuanza jana kabisa;-
Metacha/Mshery
Kibwana
Nickson Kibabage
Job
Gift fredy
Jonas Mkude
Mauya
Sureboy
Pacome
Aziz ki
Nkane
Hafiz konkoni
Mzize

Watakaojirudia walionza kikosi cha jana labda WATATU.
 
“Aaah we unamjua Simba mnyama

Sio huyu wa picha mnyama mnyama

Huyo ni wa Insta mnyama myama

Huyo utopolo mnyama

Nyama nyama

Nyama nyama

Kwa vikombe vingi mnyama mnyama

Anaopiga mwingi mnyama mnyama

Unyama ni mwingi unyama mnyama

Nasema unamjua Simba mnyama

Wa kimataifa myama mnyama

Mnyama nguvu moja mnyama mnyama

Anatupeperusha mnyama mnyama

Nyama nyama

Nyama nyama” 🎶🎶🎵🎶
 
Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje..
Kocha ndiye anayepanga kikosi hata kama washabiki watatamani kikosi chao kiwe tofauti.

Kile kikosi ndicho kocha alichokiamini, wataanza wale wale kasoro Skudu ambaye atakaa nje ya uwanja kwa miezi sita kwa kupata majeraha makubwa
 
Makolo leo jitahidi msikimbie
Tuwapige kama ngoma
 
Singida fountain gate ni Hybrid ya Simba na Yanga.
Mnyama leo ni kilio.
Jiandaeni
 
e5b3ff5d-7e71-4559-b5bc-a81732f3d17a.jpg
 
Ni kweli mlishinda ila Jana nimetazama mechi ya ajabu sana ile, ilikuwa haina radha machoni kutazama, tena kama Azam kacheza mpira mbovu sana
 
Kwani wakati mnakula chuma mbili hawakuwepo hao pale taifa.
 
Iv kwann simba akishinda wasichanganye vikos yan wachukue wachezaj wa Azam na Singida na Simba waungane pamoja ili waje kucheza na Yanga ..
 
Back
Top Bottom