AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kocha ndiye anayepanga kikosi hata kama washabiki watatamani kikosi chao kiwe tofauti.Hivyo mjipange kwa mipango mingine, msidhani tutarudi na kikosi hiki hiki mechi ijayo. Kuna kikosi kingine kipo nje..
Sio ya nkushiUsitutishe sisi makolo tulimsajili kipa m-brazil sema tulivyo mwonesha mashuti ya aziz ki akaona isiwe kesi
Umesahau kumtaja Kibu D kuwa naye atakuwepo.
DahSINA LA LENGO LA KUTISHA MTU...NDIO HIVYO UKWELI WENYEWE...WAKITAKA NA WAO WAIGE.